Kenya Mahakama ya mafisadi ipo kazini, Tanzania tunafeli wapi?

Watuhumiwa wakuu wa ufisadi Tanzania ndio wafadhili wakuu wa chama. Majaji wenye makucha wanaamrishwa namna ya kuhukumu, unategemea nini ktk mahakama hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…