Ngongele Msanga
Member
- Sep 17, 2016
- 53
- 45
Sio kwetu tuu, duniani kote hii ni ya kwanzaHayo ndio maamuzi ya mahakama kuu ya Kenya.
Jee demokrasia hiyo yawezekana hapa kwetu?
Hapa hata chadema piaCCM mjifunze kitu hapa
La mimi sisemi hivyo.Ninasema ukiwa na watu maelfu wasimamizi wa kura na vituo 41,000 vya kupiga kura lazima kanuni kadhaa za kikatiba zisiende sawa.Yaani perfection haitaweza kutokea pale ata urudie uchaguzi na hapo ndio majaji walikosea.Sasa kutokufuata katiba huoni kuwa kuna vipengele vya demokrasia havikufuatwa? Yaani iwekwe sheria, isifuatwe , halafu bado tu tuseme kuwa ulikuwa huru na haki!!
Mh haya.
Katiba hii itabidi ifanyiwe Marekebisho.Mimi mtanzania haki ya mungu nakuja kuoa kenya watoto wangu nataka waishi tu kenya.. bongo bado tunasafari ndefu sana ya ki democracy. Nimeumizwa sana na uchaguz wa 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakayeshindwa atakubali matokeo....ndio sheria huko....hv ikitokea uchaguzi wa Kenya ukarudiwa na akashinda Odinga, na wale jubilee wakakata rufaa na Wakashinda Mahakamani.... vp hapo watarudia uchaguzi au watakwenda tu kwenye mikwaju ya penati?
[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Bara la Afrika hakuna kiongozi yoyote yule anaye chaguliwa kihalali lazima kutatokea wizi wa kura hakuna haki ya Kidemokrasia ya Vyama vingi Barani Afrika bado tupo nyuma sana Kidemokrasia. Haswa kwenye uchaguzi Mkuu wa Rais.
Tunahitaji katiba mpya yenye kubalance hii mihimili. Na inaweza isiwe miaka mingi kutoka sasa.Huku hata kupewa mdhamana tu hakimu anaingiliwa. Tunahitaji miaka mia mbili mahakama zetu kutoingiliwa.
Hakuna kupinga matokeo ya uraia baada ya tume kumtangaza. Hapa Nyerere alituchezea rafu ya hatari
Just to ask kwa upande wa technicalities za kisheria, if the comprehensive ruling itatoka after 21 days, je hizo 60 days zitaanza kuwa counted from then or zimeshaanza sasa hivi?
Wataalamu wa sheria tusaidieni kidogo