KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Nillipenda sana sentensi hii" "The schizophrenic jurisprudence with which the petitioner trioxidated the submission is gastrocnemius"...PLO Lumumba
 
Kenya wanajinasibu kuwa wana katiba nzuri ila IEBC imeshindwa licha ya kuwa 'huru'.

Wewe pia haujanielewa! Kenya wana tume huru ila imeboronga, licha ya kuwa na katiba nzuri.

Weka pembeni mambo ya mahakama ya Kenya kufuta ushindi wa Kenyatta. Kenya wana katiba nzuri na tume huru ila yametokea haya!
Nafikiri hamjanielewa nilichomaanisha.

Cha msingi pamoja na yote uliyoyasemea bado Kenya inabaki kuwa na DEMOKRASIA pana zaidi kuliko Tanzania.Kama Mkuu wa wilaya au Mkurugenzi ndiye mwenye uwezo wa kuamua nani awe Mbunge au Diwani,inakuja kukupa si Katiba yetu bali Tume yetu ya Uchaguzi ni bogus kabisa
 
Kenya wanajinasibu kuwa wana katiba nzuri ila IEBC imeshindwa licha ya kuwa 'huru'.

Wewe pia haujanielewa! Kenya wana tume huru ila imeboronga, licha ya kuwa na katiba nzuri.

Weka pembeni mambo ya mahakama ya Kenya kufuta ushindi wa Kenyatta. Kenya wana katiba nzuri na tume huru ila yametokea haya!
Nafikiri hamjanielewa nilichomaanisha.

Sasa jirani akishona shati upande mmoja ukawa hauna mkono ndiyo ikusababishe utembee uchi, badala ya kushona lako uweke mikono likusetiri vyema na lipendeze? Alaa! utakuwa uzuzu tena
 
Back
Top Bottom