KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Nillipenda sana sentensi hii" "The schizophrenic jurisprudence with which the petitioner trioxidated the submission is gastrocnemius"...PLO Lumumba
 

Cha msingi pamoja na yote uliyoyasemea bado Kenya inabaki kuwa na DEMOKRASIA pana zaidi kuliko Tanzania.Kama Mkuu wa wilaya au Mkurugenzi ndiye mwenye uwezo wa kuamua nani awe Mbunge au Diwani,inakuja kukupa si Katiba yetu bali Tume yetu ya Uchaguzi ni bogus kabisa
 

Sasa jirani akishona shati upande mmoja ukawa hauna mkono ndiyo ikusababishe utembee uchi, badala ya kushona lako uweke mikono likusetiri vyema na lipendeze? Alaa! utakuwa uzuzu tena
 
Kutoka maktaba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…