Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Wahadhiri (Lecturers) wa Chuo Kikuu cha Multimedia nchini Kenya wameendelea na mgomo wao, huku wakiandamana wakiwa wamevaa madera ili kuvuta hisia za umma kuhusu malalamiko yao. Wahadhiri hao wanaitaka serikali kushughulikia madai yao kuhusu medical scheme, pension nk huku mgomo ukiendelea na kuibua wito wa hatua za haraka kutatua changamoto zinazowakabili.