Kenya: Malecturer wa chuo wavaa vijora na kucheza taarab huku wakiendelea na mgomo

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Wahadhiri (Lecturers) wa Chuo Kikuu cha Multimedia nchini Kenya wameendelea na mgomo wao, huku wakiandamana wakiwa wamevaa madera ili kuvuta hisia za umma kuhusu malalamiko yao. Wahadhiri hao wanaitaka serikali kushughulikia madai yao kuhusu medical scheme, pension nk huku mgomo ukiendelea na kuibua wito wa hatua za haraka kutatua changamoto zinazowakabili.
Your browser is not able to display this video.
 
Vijora vazi la uswazi inatakiwa ndani chupi tu au chukuchuku siyo kujaladia masurualj.πŸ˜€

Hiyo Mombasa bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…