Kenya: Mama ashikiliwa kwa kosa la kumuonyesha mtoto wake sehehu zake za siri

Kenya: Mama ashikiliwa kwa kosa la kumuonyesha mtoto wake sehehu zake za siri

drugtest

Senior Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
148
Reaction score
211
Mama mmojakatika kaunti ya kilifi nchini Kenya amejikuta kwenye matatizo na manesi wa hospitali moja baada ya kuwaeleza kuwa mtoto wake wa miaka miwili anapolia bila kunyamaza, humuonyesha uchi wake ndipo mtoto huyuo ananyamaza.

Tukio hili, lililotokea jumatatu ya tarehe 29/1 liliwashangaza wengi sana na kugeuza kilichokua kikao cha kawaida cha kuijua afya ya kliniki ya mtoto na kua Gumzo hospitali nzima na mwisho kufika kwa serikali za mtaa

Hii ilianza pale mtoto huyu alipoanza kulia kwa kelele bila kunyamaza. manesi walitumia kila mbinu ili mtoto anyamazer ila ilishindikana. Mtoto huyu alizidi kulia hata alipobebwa na mama yake na manesi wakaanza kumsihi mama huyo ambembeleze mwanae kwani kulia kwa sauti sana kunaweza muumiza kichwa.
Mtoto huyu alifika mbali na kuanza kulia huku akivuta vuta khanga ya mamaake. Manesi wakajua kuna kitu mtoto yule anataka hivo wakamwambia mama yule ampatie na hapo ndipo mama huyo alibubujikwa na machozi na aibu na kuwaambia manesi kwamba mtoto yule alitaka kuuona uchi wake.

Mama huyu alisema kwamba ilianza kama utani mtoto alivokua na miezi kadhaa alikua anapenda kulia hovyo na akilia mpaka umnyamazishe itachukua hata lisaa. siku moja nikiwa nabadili nguo mbele yake niligundua kitu kuhusu mtoto huyu. Mtoto huyu alikua analia ila ghafla aliacha kulia na kuanza kushangaa nyeti yangu ambayo sikua nimenyoa. Mwanangu alianza kucheka kwa furaha na alicheka kwa muda mrefu sana. Tangu siku hio akilia hamna namna mtoto huyu anaweza kunyamaza mpaka nimuoneshe uchi wangu.

Manesi na baadhi ya wagonjwa walishtushwa na kukerwa na saga hili na kuifikisha ishu kwa viongozi wa kijiji.
 
Back
Top Bottom