Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa mpole angeiba kura?! Ficha ujinga wako huko!!!
Hahahaha
Lugha za Majaluo na wale wavivu wa Mombasa!! Mkishindwa mkubari acheni ujinga mnaoendelea kuichafua nchi yenu! Mmeshindwa kote kuanzia viti vya bunge,seneti na ugavana bado mnapiga kelele eti Raila kaibiwa kura!!!Angekuwa mpole angeiba kura?! Ficha ujinga wako huko!!!
Wajiombee wenyewe walitumwa wabomoane????Tuiombee nchi ya kenya jamani. Hali sio nzuri.