KENYA: Mapambano makali yanaendelea kati ya Polisi na Wafuasi wa Odinga kwenye mapokezi yake

Watu wengi sana wamekufu
Police wameishiwa risasi jeshi nalo uwanjani baadhi ya wahandamanaji wana silaha za moto tuwaombee ndugu zetu
 
Duuu! Odinga ako na mob ya kutosha, lazima aliibiwa kura.
 
wale wa standby order wanapasha saizi wawaendee
 
Ndugai alisema hawawezi kupigana maana viongoz wamewekeza Sana . Akisahau Mali ya haram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…