Hakika ,Hayati Mwl. JK. Nyerere, alikuwa mtulivu, mwenye hekima, akili , busara na Mtakatifu!!
Siku ile mwaka 1995, A. Mrema, anapokolewa kwa kusukumwa gari lake ,,, Polisi ilitaka kufanya kama hiki kilichofanyika Kenya.
Ila, Mwl. Nyerere, alikuwa ni akili kubwa akasema, Muacheni hata wakimbeba juu haibadilishi chochote!!
Laiti, kama.Kenyatta angekuwa na akili , hekima na democracy ya kweli basi haya yanayoendelea saa hivi yasingekuwepo kabisa.
Any way, R.I.P , The late, our Father of the Nation, President , Saint Mwl. JK. Nyerere, forever we will remember you.