KENYA: Mapambano makali yanaendelea kati ya Polisi na Wafuasi wa Odinga kwenye mapokezi yake

Kwa haya yaliyotokea Raila anafaa kulaumiwa,
 
Kwa kuwa mlishawahi kutoa tamko la kumuunga mkono mwanademokrasia Uhuru Kenyata sasa ni wakati muafaka wa kumuunga mkono kwa kuwacharaza mabomu wapinzani wanaoleta fyokofyoko.

Msijidai mmesahau katika hili.

Kazi yetu sisi ni kuwakumbusha tu.
 
Halafu? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kwa kuwa mlishawahi kutoa tamko la kumuunga mkono mwanademokrasia Uhuru Kenyata sasa ni wakati muafaka wa kumuunga mkono kwa kuwacharaza mabomu wapinzani wanaoleta fyokofyoko.

Msijidai mmesahau katika hili.

Kazi yetu sisi ni kuwakumbusha tu.
Unayatibua mabavicha.
 
chadema kila wanachogusa baadae kinawaumiza wao
 
Uwezo mdogo Wa ufahamu unasababisha unatoa hoja kama unajisaidia. Hakuna kufikiri bali ni kuachia tuu itoke

Hiyo ndo namna yenu ya kufikiri Chadema so anacheza vizuri na uwezo wenu mana Sisi wengine tulishashindwa you are so unreasonable.
 
Hiyo ndo namna yenu ya kufikiri Chadema so anacheza vizuri na uwezo wenu mana Sisi wengine tulishashindwa you are so unreasonable.
Nani kakuambia fikra hizo ni za Chadema? Mie ndio nimemjibu kutokana na mawazo ya kijinga aliyoleta. Huoni anatujazia nafasi kwa ujinga anao andika? Au nawe ni kama yeye?
 
fyokofyoko
Hii ni lugha ya yule bwana anayetoka mtaa wa Lumumba kwa sababu CHADEMA hawaelekezwi nini cha kufanya wenye haki ya kupongeza katika hili ni wale wanaotumia lugha kama hii.
 
Ngoja tusikie chadema watakavyo mpongeza Uhuru Kenyata kwa kuwapiga wapinzani, maana Ukawa walisema tuige siasa za kenya.

Na naona alikuwa wazo baya kwani Kenya wamekufa watu kama 73 hivi tangia uchaguzi uanze.
Sasa Chadema nao wangeingia Mtaani siyo kuogopa mazoezi ya polisi ilituwe kama kenya.
 
Kwa kuwa mlishawahi kutoa tamko la kumuunga mkono mwanademokrasia Uhuru Kenyata sasa ni wakati muafaka wa kumuunga mkono kwa kuwacharaza mabomu wapinzani wanaoleta fyokofyoko.

Msijidai mmesahau katika hili.

Kazi yetu sisi ni kuwakumbusha tu.
Sifa za Vibendera ni kujifanya wasahulifu
na wanakula matapishi yao
 
Kwa nini useme hivyo ikiwa mahakama ilithibitisha kama Uhuru aliiba kura?
Who is guilty here? Uhuru au RAO?
Na kama wote wawili wamekosa hekima iweje mmoja amvumilie mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…