Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
- Thread starter
- #141
Hiyo ni uongo.Vitu simple sana vinakufanya ujue ni nchi ipi ipo na internet nzuri.
1. YouTube views
2. YouTube subscribers
3. Facebook followers
4. Instagram followers
We can compere celebrates wenye followers wengi btn Kenya and Tanzania. Also Media between Kenya and Tanzania.
Tunaweza kuanzia hapa.
JamiiForums vs Kenya,Talk.
Hizi indicators zinaonesha who use internet most.
Kupima nchi gani iko na internet mzuri unanagailia
i) Watu wangapi wanatumia mtandao kwa hiyo nchi
ii) Penetration rate ya mtandao
iii) speed ya internet
Kwa hizi zote majibu ndiyo haya hapa
i) Kenya iko na 88% internet access(2017). Watu 88% wa Kenya hutumia mtandao. Tanzania ni 40%.
ii) Penetration rate ya Kenya ni 29% ya Tanzania ni 22%
iii) Akamai iliifanya utafiti na walipata Kenya ndiyo iko na internet speed ya 14 kwa dunia.
Watanzania nyiyi huenda sana social media,wakenya huenda sana kusoma na kufanya biashara kwa mtandao. Kutoka January idadi ya wakenya wanaonunua na kuuza bidhaa zao mtandaoni imefika 15 milioni, ni milioni 4 pekee ndiyo hutumia social media kila wakati kwa mwezi.
Wakulima wa kenya nao huenda kutafuta soko ya mazao na kuwasiliana na wataalam.
Wanafunzi wa kenya nao wengi hutumia mtandao kufanya utafiti siyo kutafuta nyimbo za WCB kama watanzania.
Kwa hivyo hizo point zako ni za kijiji. Kuzidisha Wakenya wakiingia social media huwa wanaenda kufanya vitu za maana kuelimisha dunia kuhusu Kenya ndiyo kwa sababu dunia mzima inajua KOT (Kenyans On Twitter).
Hii hapa report ya Akamai
Kenya has the fastest internet in Africa, and one of the cheapest: Study - Capital Business
Kenya’s mobile internet beats the United States for speed.
Hawa hapa wakenya wakielimisha wazungu kuhusu Kenya na kuwagonga vilivyo.
Kwa hivyo malengo y wakenya na watzanzani ni tofauti mtandaoni.
Watanzania hao wachache walio na mtandao wanatumia hiyo fursa kufanya vitu visivyo vya maana kama kufatilia nyimbo mpya za WCB. Hii ndiyo sababu Jumia ilifunga ofisi ya Tanzania kwa sababu nyinyi mnatumia mtandao kama watoto wadogo.
Mkenya naye hutumia mtandao kuji elimisha, kufanya biashara na kufunza dunia kuhusu Kenya. Kwa hivyo ukitaka kutumia youtube utakuwa umejidanganya tuko busy kwa kutengeza pesa mtandaoni.