Yes, bado hatujajitosheleza kila kitu, lakini mahitaji ya muhimu kwa binadamu kama chakula, makazi, Security na Afya, tunajitosheleza hatuombi misaada ya chakula.
Acheni kusingizia ukame,mbona chai na maua mnazalisha kwa wingi, au hivyo havihathiriwi na ukame?. Galana Kulalu Project ili
Ndio sababu nilianza kwa kukushangaa sana na kwa masikitiko makubwa kwamba hata wewe ambaye tulidhani uwezo wako wa kuelewa na kufuatilia mambo ni mzuri ukilinganisha na wakenya walio wengi, sasa umeamua kujiunga na kundi lao.
Tanzania upinzani uliamua kutoshiriki uchaguzi kizembe bila hata kwenda mahakamani kama ilivyofanya NASA huko Kenya. Angalau huko Kenya upinzani ulitumia njia za kisheria kudai haki zao, angalau NASA walipata kisingingizio cha kusema "Bila ya servers kufunguliwa kama ilivyoamuriwa na mahakama, hatutoshiriki uchaguzi", Huku Tanzania hata kwenda mahakamani walikataa wakaamua Kutoshiriki chaguzi, unategemea nini?. Tanzania kwa sasa hakuna upinzani ni wababaishaji tu.