Kenya masikilizano na ustaarabu ni vigumu kupatikana.

Hio ya 99% inaonyesha T.Z ni dictatorship. Sijui mbona wanajifanya ati wana demokrasia. Kufuli amefungia rights and freedoms za Watz.
Uchaguzi wa Marudio Jubilee ilishinda kwa asilimia ngapi?
 
So you think. Siasa za Kenya huzielewi bro...hapa low IQ yako labda uanzishe Uzi wa vile huko Moshi watu walidanganywa na mhubiri mmoja...vipi hujaanzisha nyuzi za Moshi Stampede?
Wacha siasa tu,ninaelewa jinsi mlivyo corrupt, tribalists, na mlivyo na uwezo mdogo wa kuelewa mambo
 
Reactions: Oii
Uchaguzi wa Marudio Jubilee ilishinda kwa asilimia ngapi?
Sina uhakika lakini ninachojua ni kuwa upinzani wetu ambao ni asilimia zaidi ya arubaini za kura, waligoma kushiriki katika uchaguzi wa pili. Sisi sio dictators kama nyinyi. Mnakandamiza uhuru wa Watanzania wa kujieleza na kupiga kura. Mnaiba kura wakati wa uchaguzi. 99% ina maana kuwa opposition walipata 1%? Opposition wenu hawakugoma kushiriki katika uchaguzi huo. Wacheni ujinga, tafuteni watu wengine wa kudanganya.
 
Hahaha,Tony254 Kama wewe ambaye ni miongoni mwa wakenya wachache sana angalau wenye nafuu Katika kufuatilia mambo lakini umeamza kupoteza huo uwezo, ni kitu cha kusikitisha Sana.

NASA walisusia uchaguzi wa marudio kwa madai kwamba hawana imani na tume ya Uchaguzi na kutaka Chibukati na wenzake wajiuzulu. Mahakama iliamuru tume ya uchaguzi ifungue "servers" zake zikaguliwe jambo ambalo halikufanyika, matokeo yake upinzani ukagoma kwenda ktk uchaguzi, Jubilee kwa kuungwa mkono na vyama rafiki ikashindwa kwa zaidi ya 90%, huo sio udictator?. Tangu Kenya ipate uhuru wake 1963, imekua ikiongozwa na udikteta na watu wengi wameuliwa hadi leo
 
Huu ndio ustaarabu ungelipenda tuige toka kwenu? Mbona unakwepa hili swali.
Your browser is not able to display this video.
 
Ikiwa huu ndio ustaarabu ungelipenda tuige heri twendelee na ushenzi wetu.
Kumbe kauli ya mbunge mmoja inawakilisha Taifa?, kauli za Duale thidi ya Tanzanians pale bungeni ndio mtazamo wa Kenya?. Jifunzeni siasa za kistaarabu acheni ubishi
 
Reactions: Oii
1
Nchi haina fedha, Ndege zakamatwa kila uchao, wanafunzi zaidi ya 50,000 hawana shule za kusomea, siasa za 80s n.k. Kweli mko na ushenzi.
1)SGR ya umeme $3.2B
2)Hydroelectric dam $3B
3)Ndege $800M
4)Dar - Kibaha high way $64M
5)Daraja LA Busisi $300M
6)Meli Mpya $70M
Hakuna mkopo ni cash
 
Wacha siasa tu,ninaelewa jinsi mlivyo corrupt, tribalists, na mlivyo na uwezo mdogo wa kuelewa mambo
Tunaelewa kuwa Africa yote Nchi zunazotambulika Ni South Africa, Nigeria, Egypt and Kenya. Nyinyi mnatambulika kwa kukamatiea Ndege zaidi ya Mara 3 na bila kusahau pia pande ya kusamehewa Madeni. Na kwani pesa zenu mnapeleka wapi juu uchumi wenu mdogo karibia wa Uganda?
 
1)SGR ya umeme $3.2B
2)Hydroelectric dam $3B
3)Ndege $800M
4)Dar - Kibaha high way $64M
5)Daraja LA Busisi $300M
6)Meli Mpya $70M
Hakuna mkopo ni cash
  1. Ndege Zinakamatwa- deni
  2. Hydro- sijaiona kwa hivyo kadanganye watoto.
  3. SGR - hata km100 bado
  4. Dar-kibaha - imewashinda kukamilisha(19km peke yake) hapo tumewaachia Mombasa mshindani naye.
  5. Meli hata Ethiopia iko nazo na Ni landlocked.
  6. Daraja la busisi sawa na deni la mkulima.
Si far sioni vile mshatumia hata $1b na bado world Bank imekataa kuwakopesha kwa tabia zenu za ulaji fedha na pia kushindwa kulipa mkopo.
 
Kumbe kauli ya mbunge mmoja inawakilisha Taifa?, kauli za Duale thidi ya Tanzanians pale bungeni ndio mtazamo wa Kenya?. Jifunzeni siasa za kistaarabu acheni ubishi
Hujaona jinsi malofa wenzake walivyompigia makofi? Itakuwaje kauli ya mtu mmoja. Tena hio video nyingine umeivalia miwani ya mbao? Huyo kijana wa CCM amejawa chuki namna na akifikia umri wa makamu je?
 
1
1)SGR ya umeme $3.2B
2)Hydroelectric dam $3B
3)Ndege $800M
4)Dar - Kibaha high way $64M
5)Daraja LA Busisi $300M
6)Meli Mpya $70M
Hakuna mkopo ni cash
Cash alafu World Bank wamekuwa wakiwapa misaada tangu 2008 ya kuwalisha kina mama na kuwaelimisha watoto wenu na kuwatibu wananchi mahospitalini. Hayo yote kwasababu ya ongezeko kubwa la umasikini Tz kutoka mwaka wa 2008. Yaani hata bila majanga kama kiangazi na uvamizi wa nzige na ardhi yenye rotuba na mvua ya kutosha bado dona kantri hamna uwezo wa kuwaelimisha watoto wenu na kuwapa huduma bora ya afya? Kweli sisiemu yenu ni janga la taifa, wachawi ambao hawana idea isipokuwa ubabe wa peni mbili na kusifia miungu watu. Bure kabisa!
 
Sawa umeeleza vizuri mambo ya Kenya, lakini hujapinga hoja yangu kuhusu TZ. Hebu tueleze jinsi CCM ilivyopata kura 99% huku upinzani ukiwa unashiriki kwenye uchaguzi huo.
 
Yes, bado hatujajitosheleza kila kitu, lakini mahitaji ya muhimu kwa binadamu kama chakula, makazi, Security na Afya, tunajitosheleza hatuombi misaada ya chakula.
Acheni kusingizia ukame,mbona chai na maua mnazalisha kwa wingi, au hivyo havihathiriwi na ukame?. Galana Kulalu Project ili
Sawa umeeleza vizuri mambo ya Kenya, lakini hujapinga hoja yangu kuhusu TZ. Hebu tueleze jinsi CCM ilivyopata kura 99% huku upinzani ukiwa unashiriki kwenye uchaguzi huo.
Ndio sababu nilianza kwa kukushangaa sana na kwa masikitiko makubwa kwamba hata wewe ambaye tulidhani uwezo wako wa kuelewa na kufuatilia mambo ni mzuri ukilinganisha na wakenya walio wengi, sasa umeamua kujiunga na kundi lao.

Tanzania upinzani uliamua kutoshiriki uchaguzi kizembe bila hata kwenda mahakamani kama ilivyofanya NASA huko Kenya. Angalau huko Kenya upinzani ulitumia njia za kisheria kudai haki zao, angalau NASA walipata kisingingizio cha kusema "Bila ya servers kufunguliwa kama ilivyoamuriwa na mahakama, hatutoshiriki uchaguzi", Huku Tanzania hata kwenda mahakamani walikataa wakaamua Kutoshiriki chaguzi, unategemea nini?. Tanzania kwa sasa hakuna upinzani ni wababaishaji tu.
 
Kwanza uwezo wangu wa kuelewa mambo huwezi kuufahamu kwani hunijui. Hapa JF watu wachache sana wana kiwango cha masomo kama changu. Sina haja ya kukufurahisha wewe au mtu yeyote, nipo hapa kujua mambo yanayofanyika hapa Afrika Mashariki. Sikujua kuwa upinzani wenu pia walisusia uchaguzi.
 
Sikujua kuwa upinzani wenu pia walisusia uchaguzi.
Na hii ndio shida ya wakenya wengi humu, hampendi kufanyia kitu kautafiti kidogo kwanza kabla ya kucomment na ndio maana tunawaona mko na akili fupi na ndio ni kweli mko na akili fupi.
 
Nani aliyekuambia kusoma sana kunaongeza akili?, vipi unaishutumu CCM kushinda kwa 90% kumbe hata hujui mazingira ya uchaguzi ulivyokua?, sasa huko kusoma kwako kunakusaidia nini kama unazungumza mambo usiyoyajua katika mijadala mikubwa kama hapa?. Makosa kama haya ndio yanayotufanya sisi tulioishia "Form Four" tunawadharau ninyi wasomi, hasa wakenya
 
Hujaona jinsi malofa wenzake walivyompigia makofi? Itakuwaje kauli ya mtu mmoja. Tena hio video nyingine umeivalia miwani ya mbao? Huyo kijana wa CCM amejawa chuki namna na akifikia umri wa makamu je?
Jaguar alivyopigiwa makofi hukuona?, wabunge wa Kenya na speaker wa Bunge la Kenya kushindwa kumuamuru Duale kufuta shutuma zake dhidi ya Tanzania ni ishira ya kukubaliana na mawazo yake
 
Hawa wanakwaya wasijaribu kukuhadaa kwamba ule ushindi wa CCM kwa asilimia 99% ulikuwa wa haki. Tume ya uchaguzi ilishirikiana na CCM kuhujumu upinzani kwa kukataa fomu zao za usajili kwa visingizio vya kipuuzi kama errors kwenye details za waliokuwa wanataka kugombea kwenye nyathfa mbali mbali. Wengi wa wapinzani walipata ofisi zimefungwa na officials wa tume ya uchaguzi wamezamia kusikojulikana. [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…