Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
acha wivu wa kike.Uchafu mtupu
Acha shobo za kikeacha wivu wa kike.
I knew Tanzanians always want to be kenyan. Now look at this one trying to fake our street lingo to try and appear kenya. It is not bad bro, fake it till you make it.[emoji38][emoji38][emoji38] ata mimi hizo vitu hazijawahi ni bamba. Mtu unashindwa kupokea simu za maana kisa nganya! Zii masee. A research should be done, kuna hasara kubwa inaletwa na hizo kelele. Sheria ipitishwe makarao waanze kuzikamata.
Dude you have serious sexual issues.It seems you can not stop thinking of women. I am worried.Acha shobo za kike
Kwa sababu unapenda wanaume ndio unataka na mimi nikuige π¬π¬π¬Dude you have serious sexual issues.It seems you can not stop thinking of women. I am worried.
You have serious problems, you might be suffering from csb (Chronic sperm buildup).Kwa sababu unapenda wanaume ndio unataka na mimi nikuige π¬π¬π¬
Hii ni wapi?In Kenya huwezi ambia watu wasimame kwenye bus, unless its raining or you carry them for free.
We are used to sitting in comfortable seats with sweet music playing.. and BTW i don't think a BRT is meant for every city.
Maybe in Dar it works, In Nairobi we need metro trains
Kwa hiyo upo na hiyo problem ndo unadhani kila mtu anayo πππYou have serious problems, you might be suffering from csb (Chronic sperm buildup).
Dude those have been phased out! Try another picture, probably Kibera, turkana etc you know the usual.Hii ni wapi?View attachment 1219818
Dude I am helping you! Get some help.Kwa hiyo upo na hiyo problem ndo unadhani kila mtu anayo πππ
Tafuta dok usije tuambukiza humu.Dude I am helping you! Get some help.
Kwa hiyo upo na hiyo problem ndo unadhani kila mtu anayo πππ
Ha hahahhaha, Come on dude I cannot help you if you are not willing. First step to recovery is acceptance.Tafuta dok usije tuambukiza humu.
Tafuta dok usije tuambukiza humuHa hahahhaha, Come on dude I cannot help you if you are not willing. First step to recovery is acceptance.
The problem with you is that you result to hominem attacks when you are caught lying. I have lived in kenya since birth..There is no town i have not visited except mandera..That is why I am spot on what I say. I schooled at Alliance High, we used to take 102 through kawangware..That time hata mat hazikuwa, they were using some funny smallish nissans..105 was tricky coz inakuweka kikuyu town upande za wangige ushukishwe hapo Shule.. Cross Country we used to go towards thogoto then we crisscross mai hii village..University of nairobi was boring..atleast I didnt experience the harsh student life of cooking at hostel - I was a module 2 paying for myself as I worked at Equity NHIF branch (upperhill)Now look at this! I think these short stays you spend in Nairobi while selling your oranges make you think you know Kenya. Double M is falling slowly but surely, the loud mobile discos are back, even our own president confirmed this and stopped police from harrasing pimped out Matatus.
Also if Kenyans hate matatus why would a hit song by the best african rapper praising Matatus be an instant hit.
Kwahivyo DoubleM na Embasava sio matatu? Nilitegemea utasema kwamba wanatumia personal au taxi kwasababu wanachukia matatu. Kumbe utataja tu variery nyingine ya matatu. Thats Kenyan matatus for you, sehemu yoyote ambayo kuna demand wana'fit in'.Kenyans Hate Matatus. They are noisy & indiciplined.
If you want evidence, Go to 'Ambassador' stage & see people flocking for number 58 buruburu on the civilized Double M bus.
Same case with 105 westie-kikuyu route on the yellow buses..
Not to mention embasava 33 to mombasa road.
Matatus or 'nganya' are deeply unpopular on these routes except on route 23 rongai where we have young kids in multimedia university..And 19/60 kayole the home of thugs and riff raffs
No 58 buruburu Double M sio "nganya" ..Nganya hapo zimereduce sana..But i liked one of them ilikuwa ya sonko back in 2010 huko..Ilikuwa inaitwa "ferrari" That shit was wickedπππKwahivyo DoubleM na Embasava sio matatu? Nilitegemea utasema kwamba wanatumia personal au taxi kwasababu wanachukia matatu. Kumbe utataja tu variery nyingine ya matatu. Thats Kenyan matatus for you, sehemu yoyote ambayo kuna demand wana'fit in'.