pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Niliona ma arifu zangu kule Arachuga wameanza kuiga.Labda ndio culture lakini duniani kote kwa walio endelea mabasi yana kuwa yana rangi moja kutokana na sehemu zinapo enda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona ma arifu zangu kule Arachuga wameanza kuiga.Labda ndio culture lakini duniani kote kwa walio endelea mabasi yana kuwa yana rangi moja kutokana na sehemu zinapo enda
Kunani dingilai?We jamaa bwana, [emoji2]
Kasoro, Rushwa, ukabila, njaa, crime, slums, unemployment, nepotism, na Extra judicial killings.Arusha huwa tunaendana nao sana kwenye mambo mengi tu.
Eti jumuiya ya kimataifa? Kuhusu graffiti, sanaa ambayo unasema ni uchafu na ujinga? [emoji1] Hivi nyinyi watu mnaishi kwenye dunia ipi hiyo ambayo sanaa ya graffiti haipo? Sanaa kama hiyo ipo kwenye miji tofauti duniani, Rabat, Marrakech kule Morocco, Casablanca pia wamerembesha sana kuta zao na graffiti. Hata kule Gaza na West Bank, Palestine kwenye ukuta wa myahudi graffiti zipo. Kenya ni kwenye matatu na kwa taarifa yako rais Uhuru Kenyatta ndiye aliyerudisha na kukubalia tena sanaa hiyo. Nairobi’s Famed Matatu Graffiti Is Back Matatu art & culture imeangaziwa sana na media za kimataifa, CNN, BBC, VOA, DW n.k.kam kweli ni utamaduni pakeni kwenye ndege zenu...
Namshangaa mtu anaesupport ujinga na uchafu kama huo.....
Public transport inakua identified kwa special colour na sio kwa upuuzo...Na sijui kwa nn serikari yao inaruhusu ujinga kama huo.. yaani ni full uhuni haukubaliki kabisa kwenye jumuia ya kimataifa
Ata hao hapo chini ndege zao wanapaka, 1-emirates airline, 2-Kenya Airways 😂😂😂 kupaka paka huko ndio deal! 🤣Tujifunze kupaka paka hayo marangi au ni mimi ndio sijakupata [emoji23][emoji23][emoji23]