Kenya: Matatu Culture (Uniquely Kenyan)

Kenya: Matatu Culture (Uniquely Kenyan)

Labda ndio culture lakini duniani kote kwa walio endelea mabasi yana kuwa yana rangi moja kutokana na sehemu zinapo enda
Niliona ma arifu zangu kule Arachuga wameanza kuiga.
p6097356.jpeg
Cc. MK254
 
kam kweli ni utamaduni pakeni kwenye ndege zenu...

Namshangaa mtu anaesupport ujinga na uchafu kama huo.....

Public transport inakua identified kwa special colour na sio kwa upuuzo wanaofanya wakenya kwneye usafiri wa uma...

Na sijui kwa nn serikari yao inaruhusu ujinga kama huo.. yaani ni full uhuni haukubaliki kabisa kwenye jumuia ya kimataifa
 
kam kweli ni utamaduni pakeni kwenye ndege zenu...
Namshangaa mtu anaesupport ujinga na uchafu kama huo.....
Public transport inakua identified kwa special colour na sio kwa upuuzo...Na sijui kwa nn serikari yao inaruhusu ujinga kama huo.. yaani ni full uhuni haukubaliki kabisa kwenye jumuia ya kimataifa
Eti jumuiya ya kimataifa? Kuhusu graffiti, sanaa ambayo unasema ni uchafu na ujinga? [emoji1] Hivi nyinyi watu mnaishi kwenye dunia ipi hiyo ambayo sanaa ya graffiti haipo? Sanaa kama hiyo ipo kwenye miji tofauti duniani, Rabat, Marrakech kule Morocco, Casablanca pia wamerembesha sana kuta zao na graffiti. Hata kule Gaza na West Bank, Palestine kwenye ukuta wa myahudi graffiti zipo. Kenya ni kwenye matatu na kwa taarifa yako rais Uhuru Kenyatta ndiye aliyerudisha na kukubalia tena sanaa hiyo. Nairobi’s Famed Matatu Graffiti Is Back Matatu art & culture imeangaziwa sana na media za kimataifa, CNN, BBC, VOA, DW n.k.
 
Tujifunze kupaka paka hayo marangi au ni mimi ndio sijakupata [emoji23][emoji23][emoji23]
Ata hao hapo chini ndege zao wanapaka, 1-emirates airline, 2-Kenya Airways 😂😂😂 kupaka paka huko ndio deal! 🤣

Emirates A380 liveries.jpeg


images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom