Kenya: Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Kenya: Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Hivi Kenya hawana high schoo? Wanaongelea kwenda chuo kikuu baada ya Kidato cha nne, au vipi hiyo?
 
Siamini kuwa system ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tanzania. Tatizo la Tanzania ni kuwa bado miundo mbinu ya kufundishia siyo mizuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya system na miundo mbinu. Tatizo letu kubwa ni kusifia ya wengine na kudharau vyetu hata bila uchunguzi bora!
 
Hivi Kenya hawana high schoo? Wanaongelea kwenda chuo kikuu baada ya Kidato cha nne, au vipi hiyo?

Mfumo wao wa elimu wa umma ni 8-4-4, yaani miaka nane shule ya msingi, minne sekondari na minne chuo kikuu. Tofauti na wa kwetu wa 7-4-2-3/4

Siamini kuwa system ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tanzania. Tatizo la Tanzania ni kuwa bado miundo mbinu ya kufundishia siyo mizuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya system na miundo mbinu. Tatizo letu kubwa ni kusifia ya wengine na kudharau vyetu hata bila uchunguzi bora!

Hakuna mfumo wowte ule wa elimu duniani ulio perfect na haiwezi kuwa perfect maana lazima kutakuwa na watu wanaolose out kwa sababu moja au nyingine ILA pindi unapoona jitihada za dhati za mamlaka husika katika kuwasaidia wanafunzi wao basi huna budi kuzipongeza.

Kikubwa nilichopenda katika matokeo ya kidato cha nne ya Kenya ni idadi ya shule za umma/serikali zilizofanya vizuri ukilinganisha na zile za binafsi au za taasisi za imani. Hapa Tanzania "tumeua" shule zetu za umma na sekta binafsi imetawala. Huu sio muakisi mzuri wa jisni gani kodi za wananchi zinavyotumika katika elimu
 
Duh naona waliofanya vizuri hapo ni wakikuyu? Kwa nini wakikuyu wanawazidi wajaluo kielimu?

The top ranking student came from a school known as Mang'u in the central
province and has student from all tribes of Kenya.

So it is misleading to talk about Wakikuyu when all had equal chances and no one
here in Kenya is raising that question.
 
Siamini kuwa system ya Kenya ni nzuri kuliko ya Tanzania. Tatizo la Tanzania ni kuwa bado miundo mbinu ya kufundishia siyo mizuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya system na miundo mbinu. Tatizo letu kubwa ni kusifia ya wengine na kudharau vyetu hata bila uchunguzi bora!
There was a remarkable drop in Mathematics, Biology, Physics, Chemistry, CRE, IRE, Arts and Design and Business studies.

Mkuu hapo umegomga penyewe.

BTW nasikia kwa hesabu katika region hakuna anayetukamata na kiingereza cha kuombea maji ni Kenya.
 
can you believe that they outlwaed caning in kenyan public schools??? WTF??? when i was a student we were caned so hard that we had bumbs on our buttocks(no lie). kenyan children nowadays are spoiled.

FIMBO IRUDISHWE!!!!!!!!

Are you still emancipating on colonial ways of imparting knowledge to our kids/young bros n sisters?

C'me on,you could have done better than this.this conservatism is not going to take us anywhere!
 
Are you still emancipating on colonial ways of imparting knowledge to our kids/young bros n sisters?

C'me on,you could have done better than this.this conservatism is not going to take us anywhere!

eti "emancipating colonial ways...." you almost had me with the colonial comment but i can smell whatever you are selling from far away.

conservatism? alittle too presumptuous there do you think my liberal progressive friend?

you would make a fine politician. seriously!!!!
 
..I am very curious na shule ya Alliance iliyoko Kenya. nimesikia sifa zake kwa muda mrefu sasa.
 
Back
Top Bottom