Uzuri ni kwamba Tanzania inakarabati viwanja 11 plus vilivyopo 8 ni 19 ndege za atcl zinaweza maximize soko la ndani kwa ajili ya breakeven. Kenya wana viwanja local si zaidi ya 6.Tanzania at a maximize kwa local market then foreign tayari wamesaini mkataba na china wa kuleta 10000 tourist from there. Tanzania ya leo rasilimali haikamatikiDeal kama hilo haliwezi kubaliwa na Tz, deal za ambazo hazieleweki Tz tunazikataa.
Rwanda ni loss maker for number of years now as far as inside information is concerned. Atcl will preveal cause of local market maximizationHuo muungano ni wa mashirika yanayopita ktk hali ngumu sana kwa sasa na wanaogopa Ethiopia Airways dominance of African market.
Kwa kifupi hali halisi ya mashirika hayo manne:
- SAA linapumulia machine, govt imewa-subsdise mpaka sasa imeanza kushindikana, kuna private investors wanataka kweka 20 Rands kwa masharti ya kuchukua 51% ya shares;
- KQ inapumulia machine serial imesaidia, imekopa wktk benki za nje na ndani, imeuza baadhi ya ndege zake but hali bado ni mbaya, hapo juzi wamepeleka proposal serikalini ili wapewe kuendesha viwanja vyote vya ndege vya Kenya ili wapate sehemu ya kuingiza mapato na kuokoa shirika;
- Rwanda Airwaya wanekua wanapata hadara miaka mfuluiza toka wameanzishwa;
- Air Mauritius well kidogo was wanafanya vizuri kwa sababu watalii wanapenda wanakwenda kule.
My 2 cents
You seem to be more aware of other people's problems than you do with your own. Hivi ATCL imekuwa a player in aviation industry since 1977 but the only thing to show for it are 2 planes rotting away in hangers. You cannot even be compared to landlocked miniature Rwanda and Uganda. Ligi ya KQ na SAA Wacha big players nyie mkashindane na kina Fast Jet.Usichojua nikuwa hiyo South Africa airways is even worse than KQ..They have more internal problems ukisoma tatizo la SA...Wana management mbovu na kupindukia...Usichojua nikuwa kuungana kwa hizo airline hazito badili management au kuwa chini ya management...Hilo haliwezekani kutokana na kila shirika kuwa na madeni na mikataba tofauti....Huo muungano faida yake nikuwa itapunguza getting over costed kwa kiasi...!!
Deal ya ndege moja ambayo hata nyumbani inakabiliwa na ushindani mkali jutoka kwa kampuni zingine za kibinafsi??? Sio eti hamuwezi kubali ila hamna uwezo wa kui gia kwenye negotiation Table kuwasilisha matakwa yenu. Mkubali udhaifu wenu kwanza ili muingie kwenye The Round Table of MEN.Deal kama hilo haliwezi kubaliwa na Tz, deal za ambazo hazieleweki Tz tunazikataa.
Umenichekesha sana ulivyosema i CAN [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, nami nimeona hilo. ATC walishafanya mchezo huo na SAA, jamaa waliishia kuuza nyumba za marubani na ofisi zote za ATC nchini na kutokomea wakiiacha ATC ikiwa zofle hali. Hali kadhalika kwenye NBC, tulishuhudia juhudi za Wazalendo wakiishia kuanzisha NMB ingawa WAJANJA (I CAN...) walijifutia madeni makubwa waliyokuwa wanadaiwa na NBC. Wahenga walisema "MILUZI MINGI HUPOTEZA MBWA NYIKANI".
Kwa hiyo KQ na washirika wake wapo level ya masters wakisomea economics of making losses..Mmmh! Nani atakubali kushirikiana na ATCL, shirika ambalo bado halijafuzu kutoka kwenye shule ya chekechea ikifika kwenye nyanja za usafiri wa anga? Tena shirika ambalo linaendeshwa kama lori la skrepu na mkulu akiwa ikulu? KQ ni member wa SKYTEAM bana, alliance ya kimataifa ya mashirika ya maana kama Delta, China Airlines na Czech Airlines.
Hahaha kuna companies ndogo ndogo naona zikipata passenger zero outside their home countrykq ndege 40, southafrican 64, rwandair 12 , na air mauritius 14.... total fleet size ni ndege 130! kwa ushirikiano wa karibu ndani ya africa mambo sio mabaya
kq ndege 40, southafrican 64, rwandair 12 , na air mauritius 14.... total fleet size ni ndege 130! kwa ushirikiano wa karibu ndani ya africa mambo sio mabaya
Where is ATCL with it's rotting 1plane?Ahaaa haaa haaa
it's true that the fleet size is impressive. but the issue is, the alliance is going to be formed with desperate air line companies (except Mauritius). may be a big desperate alliance is in the making.
Where is ATCL with it's rotting 1plane?
Nakuuliza swali unashikwa na mori kwa nini? ATCL na ndege yake moja si inapumulia mashine??? πplease if you can't decipher the discussion at hand, it's better you keep quite.
sihitaji mipasho.
Mkuu, hili swali hili ni la viwango vya kimataifa... Nimegundua wa Manelumango nikae kandoNakuuliza swali unashikwa na mori kwa nini? ATCL na ndege yake moja si inapumulia mashine??? π
jibu swali expert bonoko. jibu swali tafadhali sio kuuma uma meno >>>>please if you can't decipher the discussion at hand, it's better you keep quite.
sihitaji mipasho.
Where is ATCL with it's rotting 1plane?
sasa?Aseeeh mi nawaombea wakakwame vibaya sana
Nilikua nasema huo si muungano bora, hao SAA ndio balaa kabisa wala hata msijaribu kushirikiana nao. Ktk hao wote walau mngeshirikiana na Air Mauritius kwa sababu ya market potential na ku-improve business efficiency kutoka kwao...Sijaelewa unachotaka kusema, labda ungeendelea kutiririka, sijui labda unataka kusema hawafai kuunganisha jitihada zao kisa wanapitia hali ngumu, au vipi...
ππππDah! Wasauz wamewasahau 'wakombozi' wao na ile ATCL yao ya ndege mbili unusu. [emoji38]