Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Uzuri ni kwamba Tanzania inakarabati viwanja 11 plus vilivyopo 8 ni 19 ndege za atcl zinaweza maximize soko la ndani kwa ajili ya breakeven. Kenya wana viwanja local si zaidi ya 6.Tanzania at a maximize kwa local market then foreign tayari wamesaini mkataba na china wa kuleta 10000 tourist from there. Tanzania ya leo rasilimali haikamatikiDeal kama hilo haliwezi kubaliwa na Tz, deal za ambazo hazieleweki Tz tunazikataa.