...halafu hapo kaenda na msafara wa magari kama ishirini hivi ya bei isiyopungua milioni 100+ kwa kila gari...Hawana tofauti na sisi Tanzania. Mwanasiasa anachagia madawati matano shuleni anaitwa vyombo vyote vya habari.
Sitashangaa kabisa! Waafrika tunajijuautasikia hiyo daraja imekosti dollar million moja
hahahahahaSitashangaa kabisa! Waafrika tunajijua
Nope. It'd cost around ksh.45000 to construct that bridge, a really small, wooden bridge over a stream.utasikia hiyo daraja imekosti dollar million moja
Nlikua natamani kusikia from you guys. . .Kijijini viongozi hupata kura wakionyesha show za hivyo. Inafaa civic education itolewe kabisa.
Kana kwamba tumezidiana ujinga tuSitashangaa kabisa! Waafrika tunajijua
The level of corruption in this country is just incredible. And that she has the temerity to vie for a public office despite the scandal.Ideally yes. Lakini kumbuka Waiguru buying pens each more expensive than that bridge [emoji23][emoji23]
Pesa za kujengea dqaraja 90% zimetumika kukodishia Chopper only in KenyaWa-Kenya watakuja na kudai Bilionea Ephraim Maina Fury as Ephraim Maina flies chopper to launch wooden bridge anaonesha hiyo ndiyo dalili za maendeleo ya kasi ya miundo-msingi (miundo-mbinu) ya barabara/madaraja nchini Kenya kupita nchi zote za Afrika Mashariki.