Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
...halafu hapo kaenda na msafara wa magari kama ishirini hivi ya bei isiyopungua milioni 100+ kwa kila gari...Hawana tofauti na sisi Tanzania. Mwanasiasa anachagia madawati matano shuleni anaitwa vyombo vyote vya habari.