Kenya: Mchina auawa na Kiboko wakati akimpiga picha

Kenya: Mchina auawa na Kiboko wakati akimpiga picha

neema shamuhenya

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
312
Reaction score
216
96a7b9229fac415c736ec34f92b7370a.jpg

MTALII mmoja raia wa China, Chang Ming Chuang (66) amefariki baada ya kuvamiwa na kiboko juzi jioni wakati alipokuwa akimpiga picha.

Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyama Pori ya Kenya, imeandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Tweeter kuwa Mchina huyo alivamiwa na kiboko alipokuwa anampiga picha katika Ziwa Naivasha, eneo la Sopa Resort huko Nakuru. Wakati mtalii huyo akikumbwa na majanga hayo, mwenzie Wu Peng Te (62) aliyekuwa naye kwenye tukio hilo, sasa anaendelea kupatiwa matibabu kwenye hospitali zilizopo mjini hapo.
 
Ndio wakome maana MTU anakazana tu na PC anasahau usalama wake[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Wachina na Kong fu zote izo tena wapo wawili si huwa wanapiga na ma dragon hao[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Hao walizuga wamezimia walivo ona msala umezidi ndo mmoja akachomoka
 
kiboko aliamua kulipiza hasira zake kwa mchina baada ya kenya kuletewa gari moshi chakavu na wachina.

nimempenda sana huyo kiboko. [emoji23][emoji23][emoji23]
Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking.
 
kiboko aliamua kulipiza hasira zake kwa mchina baada ya kenya kuletewa gari moshi chakavu na wachina.

nimempenda sana huyo kiboko. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mbona mbona mbona....

Umetupa mbaoo vinoma hapa aisee!
 
kiboko aliamua kulipiza hasira zake kwa mchina baada ya kenya kuletewa gari moshi chakavu na wachina.

nimempenda sana huyo kiboko. [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀dadeki!
 
Back
Top Bottom