KENYA: Mjane wa bilionea Tob Cohen anyimwa urithi

KENYA: Mjane wa bilionea Tob Cohen anyimwa urithi

Mtu kaua anapataje mali shetani huyo sarah
 
Anapigania mali ambayo hata akiipata hawezi itumia au ataingia nayo jela
 
Of course ana haki.

Hata hiyo talaka bado wangegawana mali.

Kuna kisa moja nilikisoma. Kuna bibi aligawa urithi kwa watoto na wajukuu zake, na akampa mmoja dola moja. Huyu aliyepewa dola moja alikua ni mtukutu mno kwahiyo aligewa hiyo kama kukomolewa.

Alipoenda mahakamani madai yake yalikosa mashiko kwakua aliandikwa kwenye urithi hivyo haikuwezekana kisheria kusema alisahauliwa au hakukusudiwa.

Kwa hili naona mke atapata mgao as inaweza kua pointed kwamba marehemu alipitiwa kumuandika mke wake or some shit.
 
Back
Top Bottom