naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Toeni uchuro humu haliendi jeshi lolote hata mgambo haendi huko anayejisikia kwenda kusaidia abebe na familia yake waende na akifika huko aseme tu ukweli kwamba TZ hajaacha ndugu yaani hakuna aliyemwacha na wamekwenda kwa hiari yake sio wammalize waje watafuti wengine hawapo basi