KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mimi niko najua kuwa Uhuru amewahi kubali kushindwa kwenye ballot box, ina maana ana weledi ya kutosha.
Hapendagi ma citizens waingie kwa vurugu.
Raila hataki kushindwa ni aje mutu hii?
Wakenya kwisa kumkataa, mahakama imempa nafasi ajaribu bahati yake tena sasa badala ya kuwashawishi voters yeye anapambana na members wa tume inayoitwa ni huru! Anaishinikiza serikali wakati yu ajua muundo wa tume husika ni huru kabisa.
UHUSIANO YAKE NA MIGUFULI YA TANSANIA IMEMLETEA HASARA KUBWA VILE WAKENYA WANAONA BULDOZA IKIVUNJAVUNJA MAJUMBA YA WATIZII.
Raila ana hoja ya msingi sana kwenye madai kama utajivua mihemko utaliona hilo......
Hata kwenye uchaguzi wa kwanza tume hiyo hiyo yenye watu hao hao ndio waliovuruga uchaguzi kwa kumpendelea Kenyatta......
Na hata ushahidi uliopelekea kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi ulijaa documents za tume ya uchaguzi......
Sasa tume hiyo hiyo yenye watu wale wale itaaminika vipi kwa watu wenye akili timamu......
Ni kama vile Uhuru Kenyatta amejitengea mpira kupiga kwenye lango lisilo na kilpa.....
Kenyatta kama mkuu wa nchi bado ana nafasi ya kurekebisha hilo.....