KENYA Mkurugenzi wa IEBC Ezra Chiloba amechukua likizo ya wiki 3 kwenda mapumziko


Raila ana hoja ya msingi sana kwenye madai kama utajivua mihemko utaliona hilo......

Hata kwenye uchaguzi wa kwanza tume hiyo hiyo yenye watu hao hao ndio waliovuruga uchaguzi kwa kumpendelea Kenyatta......

Na hata ushahidi uliopelekea kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi ulijaa documents za tume ya uchaguzi......

Sasa tume hiyo hiyo yenye watu wale wale itaaminika vipi kwa watu wenye akili timamu......

Ni kama vile Uhuru Kenyatta amejitengea mpira kupiga kwenye lango lisilo na kilpa.....


Kenyatta kama mkuu wa nchi bado ana nafasi ya kurekebisha hilo.....
 
Tume hiyo hiyo yenye watu wale wale ndio iliyokuhujumu

Utarudishaje imani kwa mtu ambaye hana tena imani na wewe????.

kwa mujibu wa korti hakuna mgombea yeyote aliyehujumiwa bali kulikuwa na dosari za kisheria katika kusafirisha matokeo. hakukua na tatizo katika upigaji kura, uhesabuji kura wala matokeo hayakuwa na shida ila tu hilo takwa la kisheria la kupeperusha matokeo.
 

Wenye jukumu la usalama wa kura ni nani...!!?

Hujuma za kuhujumu uchaguzi zinafanyika padogo sana kwenye mchakato mzima wa uchaguzi....
 
Wenye jukumu la usalama wa kura ni nani...!!?

Hujuma za kuhujumu uchaguzi zinafanyika padogo sana kwenye mchakato mzima wa uchaguzi....

IEBC na kura zote zilikuwa salama, hata leo wakisema wafungue masanduku wahesabu kwa mkono inawezekana, na kila mtu atapata kura aliyopigiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…