KENYA MMEFIKA HUKU?

KENYA MMEFIKA HUKU?

Ndio umesikia hili leo? Hili limekuwa gumzo for almost 2months now, linajadiliwa kwenye bunge la senate kama ikuwe legalized or not. Baadhi wanaunga mkono hoja hilo, hata wengine kukiri kuwa wamewahi kuwa waraibu wa mmea huo.

Ndio, tumefika hapa.
 
Tatizo mambo za Kenya ni kimya kimya.
 
Tatizo mambo za Kenya ni kimya kimya.
BBC na mashirika mengine ya habari zilipataje habari hizi? Sisi masuala yetu huwa tunaweka wazi. Hamna usiri.
Wewe ndiye huwa ufwatilii habari za ulimwemgu.
 
Aise manyang'au hapa mmenikosha walahi. Wacha bongo lala waendelee kulala, mosi, hii itapunguza gharama za kesi za kijinga, pili, ni fursa kubwa mnoo kibiashara na kiuchumi, heko mazee. Nitakuwa napiga road trips hadi Kenya kujiachia na joints zangu, venye wanaweka double roads hadi Namanga.
Mungu nijalie uzima
 
Mi naunga mkono tuhalalishe ndio watu wengi wavute waskie aire LOL!!
 
Irie Irie irie!
"In Jeff Mwangemi tone"
Ikikuwa legal itapunguza misuguano kati ya polisi na wananzengo.
 
Kenya ni Jamaica ya Africa. Angalia tanaduni zao nyingi kama Mziki. Zinafanana na Wakenya
 
Majirani zetu mko na challenges nyingi mkaona bora mu discuss ganja
 
Back
Top Bottom