Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tujifunze ni jinsi gani watu watu wanaweza kuishi katika slums mbaya zaidi duniani mf kibera,kawangware,korogocho na Bangaladesh slumsNa nyinyi WaTanzania mna mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwa Kenya
Mimi ni mtanzania, nimefanya biashara Kenya na Tanzania. nakuunga mkono wewe kwa asilimia kubwa kuliko yule wa kwanza.Na nyinyi WaTanzania mna mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwa Kenya
Kuna mengi ya kujifunza, wewe utaamua ni nini ya manufaa kwako.Labda tujifunze ni jinsi gani watu watu wanaweza kuishi katika slums mbaya zaidi duniani mf kibera,kawangware,korogocho na Bangaladesh slums
Asante, kuna mambo ambayo yananipendeza na Tanzania , kama umoja wenu, ukabila ni nadra sana.Mimi ni mtanzania, nimefanya biashara Kenya na Tanzania. nakuunga mkono wewe kwa asilimia kubwa kuliko yule wa kwanza.
Specifically kwenye uchumi(kilimo, ufugaji, viwanda na exportation ya bidhaa za kenya)
Hakuna cha kujifunza kenyaKuna mengi ya kujifunza, wewe utaamua ni nini ya manufaa kwako.
Hatulazimishi
Acha wivu wa kijinga.Hao aliowasifia labda Nyerere na Mwinyi tu. Ben, Kikwete na Huyu wa sasa they dont deserve that
Mbona mm mtz nataka kujifunza idadi ya slum zilizopo Kenya mnanipiga chenga amtaki kunijulisha please any one ...tell me the number of slum in Kenya I need to knowKuna mengi ya kujifunza, wewe utaamua ni nini ya manufaa kwako.
Hatulazimishi
Saana...Ningependa kujua sana inakuaje binadamu aweza kuua namna gani binadamu anayeishi na albinism
Mbona wasema hivyo?Hao aliowasifia labda Nyerere na Mwinyi tu. Ben, Kikwete na Huyu wa sasa they dont deserve that