TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Hata wewe ni mjinga tu.
Kenya vijana wengi unaowaona mitaani wakiandamana ni wajaluo asilimia 90, watanzania hatuna ukabilaLeo narudia kusema mara ya mwisho
"HAKUNA NCHI YENYE VIJANA WAJINGA KAMA TANZANIA"
Na wengi wanatokea Kibera na Mathare slums.Kenya vijana wengi unaowaona mitaani ni wajaluo asilimia 90 watanzania hatuna ukabila
Utajuaje na unaishi kwa shemeji ukitegemea dada yako akate viuno ndio upewe pocket money.Utajifunza nn toka Kenya?
Wapo kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.Leo narudia kusema mara ya mwisho
"HAKUNA NCHI YENYE VIJANA WAJINGA KAMA TANZANIA"
Hao wa Kibera wanavuta posho dailyNa wengi wanatokea Kibera na Mathare slums.
Kenya vijana wengi unaowaona mitaani wakiandamana ni wajaluo asilimia 90, watanzania hatuna ukabila
Kwa visababu, visingizio na kujitoa ufahamu huwa hamjambo. Wajaluo wameandamana Nakuru,Nyeri, Eldoret, kakamega, Mombasa n.k. wewe kaa hapo!.Kenya vijana wengi unaowaona mitaani wakiandamana ni wajaluo asilimia 90, watanzania hatuna ukabila
Hata wazungu ni wabaguzi sanaWatu wenye elimu na wanao jielewa wana ustaarabu... Sio hao kenge unaotaka kuwasemea hapa waliojaa ubinafsi na ukabila
Au mama yako.Kama alivyo mama yako!
Kujifunza kufanya vurugu,kuvamia bunge na kuchoma maofisi? Kama Katiba Bora ina maana ya kuhatarisha usalama WA taifa itakuwa na maana gani sasa?hiyo Katiba Yao wanayojidaia inawasaidia nini ikiwa mpaka nembo ya bunge IPO jalalani Mida hii,Wakenya wameleta uzungu mwingi kwenye Katiba wakasahau ngozi nyeusi haitaki busaraTanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Ni watu wa aina yako mnasababisha Tanzania ionekane imejaza wajinga.1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.
3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na kuaminiana.
Wakati unasema hivyo kuna nchi kama Sychelles,South Africa,Mauritiaus,Namibia,Egypt wanaishi vizuri sana tena sana.Kuzaliwa Africa ni laana