Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

Hapana !!! Tanzania ina mengi ya kujfunza kwa Kenya... Period...! Kenya labda wajifunze amapiano na showbiz kwa Tanzania
 
Kenya vijana wengi unaowaona mitaani wakiandamana ni wajaluo asilimia 90, watanzania hatuna ukabila
Kwa visababu, visingizio na kujitoa ufahamu huwa hamjambo. Wajaluo wameandamana Nakuru,Nyeri, Eldoret, kakamega, Mombasa n.k. wewe kaa hapo!.
 
Tanzania wajinga wengi na ndio maana viongozi wa CCM wanatufanya watakavyo tofauti na Kenya asilimia kubwa Wana elimu na wanajielewa kwahiyo hawana Cha kujifunza kwetu Bali sisi ndio tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao
Kujifunza kufanya vurugu,kuvamia bunge na kuchoma maofisi? Kama Katiba Bora ina maana ya kuhatarisha usalama WA taifa itakuwa na maana gani sasa?hiyo Katiba Yao wanayojidaia inawasaidia nini ikiwa mpaka nembo ya bunge IPO jalalani Mida hii,Wakenya wameleta uzungu mwingi kwenye Katiba wakasahau ngozi nyeusi haitaki busara
 
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)

2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.

3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na kuaminiana.
Ni watu wa aina yako mnasababisha Tanzania ionekane imejaza wajinga.
 
Ruto wa 2007/08 ndo huyu huyu wa 2024 anawalipa watu Shaba kama hana akili nzuri
 
Hatimae familia zile zile zimenufaika na Maandamano ya chokoraa
 
Back
Top Bottom