Yako mambo mengine,,,haki,,,mtu mwenye akili timamu,,afai kuambiwa.
Kwani ni kama kusema kwamba,,Allan Namu na Mohamed wana uwezo
mkubwa hata kuliko CIA,,,wakujua ni yapi yaliofanyika katika uchanguzi
wa 2013.
Umarekani na Uingereza walijaribu njia zote,,,za kutowawezesha
UhuRuto kuto chukua ushukani katika hii nchi.
Kivipi,,, just simple Kenyan journalists wanaweza kua na habari ambazo
USA,, Britain,,,ODM,,, wangelizitumia kuwabwagha,,akina UhuRuto???
Kwanini Allan na Mohamed,,,, kukoja mpaka sasa????????Mwaka mmoja baada
ya uchanguzi???? Ukweli hua hautafutwi,,,,lakini itakuchua wakati kuweka
uwongo(urongo) pamoja ili uwoneka kama,,ukweli
Hawa vijana hawapendi maisha yao,,kwani sasa,,,wanajitania,,trending in
very dangerous waters.
Siasa duni zitapiga ukuta tuu,,,hata wakikuja na hizi habari za upuzi,,,
kweli,,zita make any difference??????
Waende USA wafanye kazi huko,,ya kijasusi ama kuyaosha maiti za
kizungu.
Sasa,,walio yasema yote ya Saitoti,,,si yote yamesahaulika kwa
sasa????
Nilisema kwamba mengi walio yasema,,,yalikua tuu,,,hekaya za Abu bin
Awas,,yaani,,,Abunuwasi.
Ama ni record tuu,,,,ambao wanataka kuvunja kwa kuivurugugha inchi??
Wengi walijaribu,,,akina,,Kiaii,,Afrilog,,,prof Makau,,,,lakini wako
wapi sasa????
Bure kabisa.