iam_paco
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 408
- 687
Asa unalia nin? [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo hapa kutoa ushauri kwa watu wazima wenzio?
Nimekuomba your services?
Sijakuomba,can you keep them for yourself?
Wewe ndio una English bora zaidi ya wengine upate authority ya kuwaropokea wafate ukitakacho?
Jibu ni no,huna English yoyote na huna mamlaka ya kumuelimisha yeyote in those lines!
My English mastery is mine,na wewe una yako,yako ni bora according to wewe,sihitaji msaada wako!
My English imekuuma sana,die!
Black Americans are humans just like you and me,wana mazuri na mabaya yao!
Wewe pia na jamii yako mna mazuri na mabaya yenu!
Huu ubora unaojipa ni a stupid lie!