MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Nov 21, 2018 #1 Kila siku mnapigwa kama hamna jeshi vile,Mara Mandela mara westgate yaana mabalaa kila siku. Ombeni msaada huku undugu ni kusaidiana sio kufanana.
Kila siku mnapigwa kama hamna jeshi vile,Mara Mandela mara westgate yaana mabalaa kila siku. Ombeni msaada huku undugu ni kusaidiana sio kufanana.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Nov 21, 2018 #2 Kenya haifikia hatua ya kutaka msaada wa kijeshi. Adui wa Kenya anamjua vizuri Kenya kuliko Kenya amjuavyo ndiyo maana Kenya anapata hizi suprise.
Kenya haifikia hatua ya kutaka msaada wa kijeshi. Adui wa Kenya anamjua vizuri Kenya kuliko Kenya amjuavyo ndiyo maana Kenya anapata hizi suprise.
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,184 Reaction score 3,369 Nov 21, 2018 #3 Oooh kumbe
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Nov 21, 2018 #4 hivi kwani mo alitekewa Kenya mbona kama ulichokiandika kinapishana na ukweli
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Nov 21, 2018 #5 Sasa tuombe msaada kutoka kwa wabangua korosho na wavamizi wa maduka ya forex? No, thank you.