Habari nilizozipata toka Kenya ni kuwa mungiki wamepewa silaha na wanauwa wafuasi wa upinzani huku polisi wakiwafungia machohizo ni baadhi za picha za maiti mitaa ya kariobangi leo hii ambapo inasemekana wameuwawa na mungiki .Naona kuna watu watarudishwa tena kwenye mahakama ya uholanzi
ndo laaana ya ubaguzi kenya ukabila umeota mizizi kwa nini nchi itawaliwe na kabila moja tu la kenyatta?
Uzii huuu wale manyumbu wanaosema kenya kuna democrasia hawawezi changia loloteDah juzijuzi tu watu walipendekeza tuige demokrasia ya Kenya, tuungane tusithubutu kuiga mambo ya jirani zetu tubakie kama tulivyo.
Kwani walijiunga lini na kenya? Na siku hizi cdm ni nchi? Nijuavyo nchi na nchi ndio hujiunga na kutengeneza muungano fulani hivi kama huu wa zanzibar na hapa au wa jumuiya ya afrika mashariki lakini huu wa cdm na kenya unaitwaje? Usipende kurush to conclusion.chadema watoe tamko kujitenga na hii Serikali dhalimu ya Kenya.