Kenya mungiki imefufuka na inauwa wafuasi wa upinzani

Kenya mungiki imefufuka na inauwa wafuasi wa upinzani

murume

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
90
Reaction score
80
Habari nilizozipata toka Kenya ni kuwa mungiki wamepewa silaha na wanauwa wafuasi wa upinzani huku polisi wakiwafungia macho
9359a3d859f7f17cca044ffc5c3eabb5.jpg
68884a3892eb4193f00c3f0dcb788054.jpg
e059ba6e91a3d13ed90b0bd69e9ab5ad.jpg
8fd773e244c89f92ca51befb4227416c.jpg
hizo ni baadhi za picha za maiti mitaa ya kariobangi leo hii ambapo inasemekana wameuwawa na mungiki .Naona kuna watu watarudishwa tena kwenye mahakama ya uholanzi
 
74dc979b2696ad5a78486ae20957eec6.jpg
 
Duh hii hali ya hatari sana. Rais Kenyatta arekebishe mambo
 
Dah juzijuzi tu watu walipendekeza tuige demokrasia ya Kenya, tuungane tusithubutu kuiga mambo ya jirani zetu tubakie kama tulivyo.
 
ndo laaana ya ubaguzi kenya ukabila umeota mizizi kwa nini nchi itawaliwe na kabila moja tu la kenyatta?
 
ndo laaana ya ubaguzi kenya ukabila umeota mizizi kwa nini nchi itawaliwe na kabila moja tu la kenyatta?

Acha kuandika usichokijua wewe. Moi alitawala Kenya miaka mangapi? Na yeye ni ukoo wa Kenyatta?
 
chadema watoe tamko kujitenga na hii Serikali dhalimu ya Kenya.
 
Dah juzijuzi tu watu walipendekeza tuige demokrasia ya Kenya, tuungane tusithubutu kuiga mambo ya jirani zetu tubakie kama tulivyo.
Uzii huuu wale manyumbu wanaosema kenya kuna democrasia hawawezi changia lolote
 
chadema watoe tamko kujitenga na hii Serikali dhalimu ya Kenya.
Kwani walijiunga lini na kenya? Na siku hizi cdm ni nchi? Nijuavyo nchi na nchi ndio hujiunga na kutengeneza muungano fulani hivi kama huu wa zanzibar na hapa au wa jumuiya ya afrika mashariki lakini huu wa cdm na kenya unaitwaje? Usipende kurush to conclusion.
 
Duh! Mapanga hayo maamae. RIP.
Bora Bongo
 
Back
Top Bottom