Kenya: Mwanaharakati wa kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja Binyavanga Wainaina afariki dunia

Utetee ufala afu utegemee Mungu akuache salama tu! shetani nae anachekelea tu kumuona mchizi kashapotea....
 
Mwanaharakati wa kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya, Binyavanga Wainaina amefariki. Ndugu yake James Wainaina amethibitisha.

Wainaina alikuwa mshindi wa tuzo ya Caine na aliorodheshwa na gazeti la Times magazine miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani 2014.

Amefariki siku mbili tu kabla ya mahakama nchini Kenya kutoa uamuzi wa iwapo itafutilia mbali sheria za kikoloni ambazo zinaharamisha haki za wapenzi wa jinsia moja.

Binyavanga Wainaina, alikuwa miongoni mwa Wakenya wa kwanza kujitokeza hadharani na kusema kuwa yeye hushiriki mapenzi ya jinsia moja.

Mwanaharakati huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 48.

View attachment 1104454
ALHAMDULILLAAH, SHAYTWAANI MMOJA KAPUNGUA KWENYE UKANDA WETU WA EAST AFRICA, TUNAMSHUKURU MOLA. HAWA WANATUMIKA NA MATAIFA YA NJE ILI KUINGIZA AFRICA MILA ZA KISHETANI.
 
Mwanaharakati wa kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya, Binyavanga Wainaina amefariki. Ndugu yake James Wainaina amethibitisha.

Wainaina alikuwa mshindi wa tuzo ya Caine na aliorodheshwa na gazeti la Times magazine miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani 2014.

Amefariki siku mbili tu kabla ya mahakama nchini Kenya kutoa uamuzi wa iwapo itafutilia mbali sheria za kikoloni ambazo zinaharamisha haki za wapenzi wa jinsia moja.

Binyavanga Wainaina, alikuwa miongoni mwa Wakenya wa kwanza kujitokeza hadharani na kusema kuwa yeye hushiriki mapenzi ya jinsia moja.

Mwanaharakati huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 48.

View attachment 1104454
Msengee tu, Uwarakati sifa nyingine
 
Back
Top Bottom