Dunia bado ipo sana tu, mbona ni mambo ya kawaida hayoKweli mwisho wa dunia umefika Mungu atanisamehe nitavunja ndoa tu aendelee na baba mkwe wake na ubaba pia utaisha
Kawaida baba ako kumkuta na mume hapana aiseeDunia bado ipo sana tu, mbona ni mambo ya kawaida hayo
imeishaje mbona me naona bado nzima [emoji1] [emoji13]Dunia imeisha
Pia unatakiwa kuchagua na baba wa kukuzaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanawake muwe mnaangalia wanaume wa kuwaoa, sio unaangalia urefu tu na u smartness angalieni historical background zao, wanaume wengine wanatuaibisha wanaume wenzao apa, shenzi!
Sasa si mkewe ana mnyima unyumba akaona aende kula kwa baba 'ke [emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji119]Kweli mwisho wa dunia umefika Mungu atanisamehe nitavunja ndoa tu aendelee na baba mkwe wake na ubaba pia utaisha
Inawezekana alikuwa anakula mwanaye akaona amfuate na mume wa mwanaye. [emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji119] [emoji91] wakenya wa Mombasa siyo watu wazuri.Baba mkwe kaamua kumfi.. mume wa mwanae na duka kamfungulia...hahahahaha
nmecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]Pia unatakiwa kuchagua na baba wa kukuzaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndiyo hivo tena - mambo ya Sodoma na Gomora haya - siku si siku Mungu atashusha kiberiti chake!Mwanamke mmoja jijini Nairobi amefunguka redion baada ya kumfuma baba yake mzazi wa kumzaaa akifanya mapenzi na mume wake ambaye tayari ana ujauzito wake. hii inasikitisha sana jaman khaa.
Mambasa ni kijiji gani mkuu.... [emoji1] [emoji13]Bila Shaka hukosio Nairobi, hayo yatakua yametokea Mambasa.
Hiyo option ingekuwepo mbona ingekuwa poa.Pia unatakiwa kuchagua na baba wa kukuzaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]