Kenya: Mwanamke amfuma baba yake akifanya mapenzi na mumewe

Kenya: Mwanamke amfuma baba yake akifanya mapenzi na mumewe

Sema kenya wao si haki sawa full mabepari so hakuna shida hapo. Watasameheana na maisha yataendelea
 
Kweli mwisho wa dunia umefika Mungu atanisamehe nitavunja ndoa tu aendelee na baba mkwe wake na ubaba pia utaisha
Sasa si mkewe ana mnyima unyumba akaona aende kula kwa baba 'ke [emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji119]
 
Baba mkwe kaamua kumfi.. mume wa mwanae na duka kamfungulia...hahahahaha
Inawezekana alikuwa anakula mwanaye akaona amfuate na mume wa mwanaye. [emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji119] [emoji91] wakenya wa Mombasa siyo watu wazuri.
 

Mwanamke mmoja jijini Nairobi amefunguka redion baada ya kumfuma baba yake mzazi wa kumzaaa akifanya mapenzi na mume wake ambaye tayari ana ujauzito wake. hii inasikitisha sana jaman khaa.

ndiyo hivo tena - mambo ya Sodoma na Gomora haya - siku si siku Mungu atashusha kiberiti chake!
 
Back
Top Bottom