Kenya: Mwanamke wa miaka 62 akamatwa kwa ujambazi na kuhukumiwa miaka 35 Jela

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019

Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15 katika gereza la Shimo la Tewa

Mwanamke huyo amekutwa na hatia ya kuiba vyombo vya moto haswa magari ya mizigo Mombasa, Nairobi na Nakuru

photo_2020-08-05_12-07-41.jpg

===
A 62-year-old woman was on Tuesday sentenced to 35 years in prison after she was found guilty for a robbery with violence charge.

Joyce Wairimu Kariuki, an ex-convict of Shimo La Tewa GK Prison, was accused of involvement in robbery of motor vehicles between 2018 and 2019 in Nakuru, Nairobi and Mombasa.

The accused was convicted at the Loitoktok Law Courts.

According to records from the Directorate of Criminal Investigations (DCI), Wairimu was previously released from Shimo La Tewa prison after completing a 15-year jail term.

“Following numerous reports of stolen motor vehicles especially lorries in Nakuru, Nairobi and Mombasa between 2018 and 2019, @DCI_Kenya narrowed down on the suspect around whom the thefts revolved despite having been released from the said prison after completing a 15-year jail term,” said the DCI on Tuesday.
 
15+35=50.

Kwahiyo ataishi nusu karne gerezani?

Wakenya tuwaache kama walivyo.
 
Ndio maana hawaoleki hawa manzi wa kenya, pamoja na matukio ya kuwapiga na kuwanyanyasa waume zao kwa kujiona kuwa nao ni wanaume kimaumbo na sura lakini wamejiaangiza kwenye shughuli za uhalifu.....hata hivyo hili taifa llishukuru zana ujio wa ma wigi na make up angalau nchi inaonekana ina manzi
 
Nyanya ya mtu, shangazi yake fulani, mamake nanihuyu.........aaargh😖😖😖 haipendezi kwa wanawake!!!!
 
Ndo maana taifa la kenya limegubikwa na vichapo vya kila rangi....kama hali ndo hii kizazi kijacho kitakuaje
 
Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019

Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15 katika gereza la Shimo la Tewa

Mwanamke huyo amekutwa na hatia ya kuiba vyombo vya moto haswa magari ya mizigo Mombasa, Nairobi na Nakuru

===
A 62-year-old woman was on Tuesday sentenced to 35 years in prison after she was found guilty for a robbery with violence charge.

Joyce Wairimu Kariuki, an ex-convict of Shimo La Tewa GK Prison, was accused of involvement in robbery of motor vehicles between 2018 and 2019 in Nakuru, Nairobi and Mombasa.

The accused was convicted at the Loitoktok Law Courts.

According to records from the Directorate of Criminal Investigations (DCI), Wairimu was previously released from Shimo La Tewa prison after completing a 15-year jail term.

“Following numerous reports of stolen motor vehicles especially lorries in Nakuru, Nairobi and Mombasa between 2018 and 2019, @DCI_Kenya narrowed down on the suspect around whom the thefts revolved despite having been released from the said prison after completing a 15-year jail term,” said the DCI on Tuesday.
SUCH AN OLD WOMAN!!!
IT HAPPENED IN 'KENYA!!' KWELI KENYA NI SHEEDA
 
Back
Top Bottom