mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Ni kweli si kila kipigo ni uonevu. Hebu fikiria kaka yako anafanyiwa hivi halafu kibaya miwanawake yenye tabia hizi huwa inatamba.Hawa ndiyo wanawake ukisikia amepigwa na Mme wake mpaka kufa haushangai,!