KENYA: Mwanaume ajichoma moto baada ya mpenzi wake kupokea simu ya Mwanaume mwingine

KENYA: Mwanaume ajichoma moto baada ya mpenzi wake kupokea simu ya Mwanaume mwingine

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
police-line7.jpg

Mwanaume mmoja ajichoma moto baada ya Mpenzi wake kupokea simu ya Mwanaume mwingine mbele yake.

> Mwanaume huyo aliyejulikana kwa majina ya Celis Omangi Kiilu alizozana na mpenzi wake Selina Akoth mwenye umri wa miaka 23.

> Mwanaume huyo aliokolewa na wasamaria wema ambao walimkimbiza katika Hospitali ya Kapsara alikopatiwa huduma ya kwanza kabla ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Kitale kwa matibabu zaidi.

======

A man in Trans Nzoia County reportedly set himself on fire after his girlfriend received a phone call from another man in his presence.

The man, Celis Omangi Kiilu, is said to have disagreed with his lover, Selina Akoth a 23-year-old bartender in Kapsara as he escorted her off work at around 1a.m. when her phone rang and she picked it up.

An enraged Celis is said to have confronted Selina, asking why she was receiving phone calls at that time of the night and who exactly was calling her, leading to a massive disagreement between the two.

Celis, who works as a posh mill attendant, was reportedly carrying the last bit of petrol he had used for the day’s work as at the time of the incident.

On noticing that the call to his lover had come from a fellow man, Celis is said to have doused in petrol and set himself on fire.

According to area assistant chief Evans Wandabi, Celis was rushed to a hospital in Kapsara before eventually being transferred to a Kitale hospital, where he succumbed to his injuries.

His body has been preserved at a Kitale mortuary pending further investigations into the incident.

- Citizen News
 
Aise, ila honestly wakenya wana mambo ya ajabu ajabu sana mazee. Sijui ni hiyo geographical area huchangia. So many weird issues happening there.
Huyo kajilipua na moto atakuwa ugly, ndio ameweka sababu ya kuachwa kabisa na huyo manzi, huyo jamaa asiachwe peke yake, atajiua
 
ww acha tu yan wakenya ndo wanao ongoza kujiua hata tim zao zikifungwa big matches (kuna mashabiki wa arsenal walishawahi kujiua)
 
Aise, ila honestly wakenya wana mambo ya ajabu ajabu sana mazee. Sijui ni hiyo geographical area huchangia. So many weird issues happening there.
Huyo kajilipua na moto atakuwa ugly, ndio ameweka sababu ya kuachwa kabisa na huyo manzi, huyo jamaa asiachwe peke yake, atajiua

Hehehehe... povuuu
Sisi tukipenda kitu huwa tunamaanisha, sio usanii, hebu njoo chezea demu wangu uone jinsi nitakavyokumaliza na kupika rosti ya moyo wako na ya demu mwenyewe kisha nijitoe uhai nikawafuate huko ahera ili kuendeleza kibano....hehehe

Sisi ni kama wale hujilipua ili wakapewe mabikira 72 kuleeee.
 
Wanaume Kenya ni aibu ya kanda.
Mara wapigwe na wake zao, ni tabu tupu.
 
Nilijua aliwauwa kumbe kajiua kawaacha asee hakuna watu malofa kama hawa akapumzike bhana
 
Self immolation over a woman?

Siyo leo
 
Hehehehe... povuuu
Sisi tukipenda kitu huwa tunamaanisha, sio usanii, hebu njoo chezea demu wangu uone jinsi nitakavyokumaliza na kupika rosti ya moyo wako na ya demu mwenyewe kisha nijitoe uhai nikawafuate huko ahera ili kuendeleza kibano....hehehe

Sisi ni kama wale hujilipua ili wakapewe mabikira 72 kuleeee.
Nipe namba ya dem wako..nikuonyeshe ubabe wa viwango vya SRG....NB; katka mpambano huo UCHAWI HAURUHUSIWI
 
Nipe namba ya dem wako..nikuonyeshe ubabe wa viwango vya SRG....NB; katka mpambano huo UCHAWI HAURUHUSIWI

Ukijiingiza kwenye mpambano kwa ajili ya mke wa mtu, basi uwe tayari kwa lolote hata uchawi. Naomba utazame video hii hapa chini kama kionjo tu.
 
Ukijiingiza kwenye mpambano kwa ajili ya mke wa mtu, basi uwe tayari kwa lolote hata uchawi. Naomba utazame video hii hapa chini kama kionjo tu.

Baaasi mkuu Niko chini ya miguu .. yako..mi nlikua natinia tuu ..si ni ndugu bwanaaaa
 
Back
Top Bottom