SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Apr 11, 2018 #21 Chinsali said: Gk akukosea alipoimba ntakufaje wote njia moja. Click to expand... Wote njia ni moja Wengine watakufa kwa panga, wengine kwa shoka na wengine watakufa...... Huwezijua utakufa kwa Style gani japo njia ni moja. Muuzaji alikosa uvumilivu kwa mteja wake wa kila siku! Kweli dunia twapita tu. Mungu amuweke mahala anapostahili
Chinsali said: Gk akukosea alipoimba ntakufaje wote njia moja. Click to expand... Wote njia ni moja Wengine watakufa kwa panga, wengine kwa shoka na wengine watakufa...... Huwezijua utakufa kwa Style gani japo njia ni moja. Muuzaji alikosa uvumilivu kwa mteja wake wa kila siku! Kweli dunia twapita tu. Mungu amuweke mahala anapostahili