KENYA: Mwanaume mmoja auawa baada ya kushindwa kulipa Ksh. 10 ya Mtura

KENYA: Mwanaume mmoja auawa baada ya kushindwa kulipa Ksh. 10 ya Mtura

Gk akukosea alipoimba ntakufaje wote njia moja.
Wote njia ni moja

Wengine watakufa kwa panga, wengine kwa shoka na wengine watakufa......

Huwezijua utakufa kwa Style gani japo njia ni moja.

Muuzaji alikosa uvumilivu kwa mteja wake wa kila siku!

Kweli dunia twapita tu.
Mungu amuweke mahala anapostahili
 
Back
Top Bottom