Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Angemgusa mweusi hapo angedundwa
Aisee.
View attachment 2293883
Mwanaume aliyechanganyikiwa akili (mwehu), amevamia kanisani wakati misa ikiendelea na kumpiga padri kisha kupora biblia.
Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ambapo taarifa zinaeleza kuwa limetokea Kisumu nchini Kenya katika kanisa moja la Kikatoliki.
Nadhani ni yule Tairo anayesema " yesterday from east to the west " anavaa kofia la ndumila kuwiliUmenikumbusha clip moja hivi, mchekeshaji wa kizungu alikua akiwafata watu na kuwashtua, akiwafuata white hakuna noma wanacheka na kumpotezea, ee bwana ee akawafuata black aise walimkimbiza ndukiiii [emoji16][emoji16] sizani kama alirudi
Dah ila wakatoliki wapole sana.View attachment 2293883
Mwanaume aliyechanganyikiwa akili (mwehu), amevamia kanisani wakati misa ikiendelea na kumpiga padri kisha kupora biblia.
Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ambapo taarifa zinaeleza kuwa limetokea Kisumu nchini Kenya katika kanisa moja la Kikatoliki.
Umenikumbusha Misa moja ya Christmas bro wangu alichezea kichapo heavy kutoka kwa Padri. Ngumi zaidi 4 zilitupwa usoni kwa Bro chini sekunde 2, eneo lile tulilokuwa tumekaa lilikaa kimyaaa wakati kichapo icho kikitembea na kitendo hicho kilifanyika huku Padri akiendeleza kutamka Sala ya Bikra Maria.Kuna wale mapadri wanaitwa majesuit nasikia ni wacheza ngumi na wana viwango vya juu vya mapambano na mapigano, huyo mwehu angekutana nao angerudi kwenye akili zake.
Umeniacha njia panda, alifanya nini uyo bro?Umenikumbusha Misa moja ya Christmas bro wangu alichezea kichapo heavy kutoka kwa Padri. Ngumi zaidi 4 zilitupwa usoni kwa Bro chini sekunde 2, eneo lile tulilokuwa tumekaa lilikaa kimyaaa wakati kichapo icho kikitembea na kitendo hicho kilifanyika huku Padri akiendeleza kutamka Sala ya Bikra Maria.
Yaan weusi tupo sensitive sanaUmenikumbusha clip moja hivi, mchekeshaji wa kizungu alikua akiwafata watu na kuwashtua, akiwafuata white hakuna noma wanacheka na kumpotezea, ee bwana ee akawafuata black aise walimkimbiza ndukiiii ππ sizani kama alirudi
Mma angeita uma[emoji1]Angemgusa mweusi hapo angedundwa