Kenya: Mwehu avamia misa na kumpiga padri

Kenya: Mwehu avamia misa na kumpiga padri

Dunia ndo inakoenda sasa.

Ukute hata siyo chizi ni baadhi tu ya watu walioumizwa na kanisa
 
Kuna wale mapadri wanaitwa majesuit nasikia ni wacheza ngumi na wana viwango vya juu vya mapambano na mapigano, huyo mwehu angekutana nao angerudi kwenye akili zake.
Hawa expose uwezo wao bila sababu maana kiuhalisia ni maspy
 
Mliokomenti kuanzia hapa nilipoandika kurudi juu mna umri gani nyie watu 😢😢🤔🤔aseee?.
 
Back
Top Bottom