Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kenya na Burundi Leo wamefuzu kwenda huko misri.
Kwanini sisi kichwa cha mwendawazimu tushindwe??
Pia hela alizoahidi kutoa #bashite atoe kweli.
Tuna maombi mawili
Sisi tushinde
Cape Verde ashinde?!
Hii ni aibu na wakenya wanvyoongea vile!
Tutakoma aseeh
Ntarudi hapa kuelezea kiufundi wachezaji wakitumika vipi itasaidia (simpangii kocha)