Kenya na burundi wamefuzu Afcon

Kenya na burundi wamefuzu Afcon

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kenya na Burundi Leo wamefuzu kwenda huko misri.
Kwanini sisi kichwa cha mwendawazimu tushindwe??
Pia hela alizoahidi kutoa #bashite atoe kweli.
Tuna maombi mawili
Sisi tushinde
Cape Verde ashinde?!

Hii ni aibu na wakenya wanvyoongea vile!
Tutakoma aseeh

Ntarudi hapa kuelezea kiufundi wachezaji wakitumika vipi itasaidia (simpangii kocha)
 
Verde anafungwaaa hizooo POMBEEE MTAiZITAPIKAAA
 
Back
Top Bottom