Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Verde anafungwaaa hizooo POMBEEE MTAiZITAPIKAAAKenya na Burundi Leo wamefuzu kwenda huko misri.
Kwanini sisi kichwa cha mwendawazimu tushindwe??
Pia hela alizoahidi kutoa #bashite atoe kweli.
Tuna maombi mawili
Sisi tushinde
Cape Verde ashinde?!
Hii ni aibu na wakenya wanvyoongea vile!
Tutakoma aseeh
Ntarudi hapa kuelezea kiufundi wachezaji wakitumika vipi itasaidia (simpangii kocha)
Mpwa Leo naona upo jf Sana waambie wwtazitaapika na watadeki matapishi yaoVerde anafungwaaa hizooo POMBEEE MTAiZITAPIKAAA
Mpwa Leo naona upo jf Sana waambie wwtazitaapika na watadeki matapishi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nataka team ishinde ili tunywe hayo mengine wakae nayoVerde anafungwaaa hizooo POMBEEE MTAiZITAPIKAAA