FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
HAKUNA..!!, nishasema rudisheni pesa zetu za ESCROW!!! DAMU ITAMWAGIKA!!
kuelewa hii biashara nikazi sana mpaka uwe ndani yake wiki hii tuna show ya mawe Arusha naiyo show ni ya kidunia wana kuja watu from all over the world ni wanunuzi wa mawe na usifikiri hapo inauzwa tanzanite tu panauzwa tourmaline ,ruby na mawe mengineyo tu kutoka sehemu tofauti hapa duniani na watu wa mataifa mbali mbali wana kuja kuuza na kununua sasa mwenye mtaji mkubwa hapo ndio ananunua zaidi then akienda huko nje yeye ndio anaonekana sio wewe wao wanaenda kumuuzia the top top buyer ambae anamjua Beyoncé Rihanna na wengineo wewe iyo njia huwezi kuikatiza hata ufanyeje. Na sio kwamba hiyo show hufanyika Tanzania tu mwaka huu mwezi wa 9 tulikua hongkong na Thailand na wanakuja matajiri kutoka kote duniani na wauzaji kutoka kote duniani from Brazil to Nepal wote hao wanaleta mawe ya colour stone..kwa jinsi ulivyoelezea ni kama vile hatuna ujanja na tukubaliane na hali halisi....hii haikubaliki...kumbuka we monopolize this resource...
...viongozi wako waliokiri udhaifu uliopo hawaijui biashara hii??kuelewa hii biashara nikazi sana mpaka uwe ndani yake wiki hii tuna show ya mawe Arusha naiyo show ni ya kidunia wana kuja watu from all over the world ni wanunuzi wa mawe
...mkuu hapa yameongelewa mapato ya Tanzanite kwa nchi yetu,kenya na India..sijui yana uhusiano gani na hayo madini mengine uliyotaja..?...na usifikiri hapo inauzwa tanzanite tu panauzwa tourmaline ,ruby na mawe mengineyo tu kutoka sehemu tofauti hapa dunianie
...na watu wa mataifa mbali mbali wana kuja kuuza na kununua sasa mwenye mtaji mkubwa hapo ndio ananunua zaidi then akienda huko nje yeye ndio anaonekana sio wewe wao wanaenda kumuuzia the top top buyer ambae anamjua Beyoncé Rihanna na wengineo wewe iyo njia huwezi kuikatiza hata ufanyeje. Na sio kwamba hiyo show hufanyika Tanzania tu mwaka huu mwezi wa 9 tulikua hongkong na Thailand na wanakuja matajiri kutoka kote duniani na wauzaji kutoka kote duniani from Brazil to Nepal wote hao wanaleta mawe ya colour stone
Nchi yangu Tanzania!!!!!! shamba la bibi,,hii nchi hii ni bora usiijue kiundani utaishi kwa amani maana ukiijua sana waweza kuugua magonjwa ya kudumu,
Usianze kulaumu bila ktafakari.tatizo la tanzania kuwa na wanasiasa wababaishaji.nasema hili watoroshaji wakubwa wa madini yetu sio tanzanite pekee hata dhahabu ruby nk ni wachimbaji wadogowadogo ambao kwa bahati mbaya wanatetewa sana na wanasiasa.ili hali inajulikana udhibiti wao ni mgumu sana.katika kujua mapatao yao na control ya mauzo ikiwa pamoja na ulipaji kodi.
Daa..!mkuu we acha tu,hii nchi inaumia sana.yani kuna watu wana akili ndogo lakini wanataka uongozi.haya ndio matokeo,tunataka watu creative.
Usituumize kichwa. usitupotezee muda. usituchose nasi tusikuchoshe hii thread na za namna hii pelekeni kwenye jukwaa la siasa/hoja na habari mchanganyiko/au zinazofanana na hizi....Entrepreneurship kwa kwenda mbele.
Tatizo hapa ni hii Serikali dhalimu ambayo haina vision. Wangewapa mtaji mkubwa STAMICO ili wanunue Tanzanite kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo kwa bei kubwa kuliko ya hao middle men wa kihindi. Hili lingewezesha kabisa kuongeza pato la Taifa kutoka Tanzanet kwa kiasi kikubwa sana na hivyo kuzipita nchi za India na Kenya kwa mbali sana. Hii ni aibu kubwa sana na kama sikosei Kenya si ya pili bali ni USA, Kenya ni ya tatu. Kulikuwepo hapa uzi miaka ya nyumba ambao kama sikosei ulionyesha pato la US linalotokana na Tanzanite ni la pili kwa ukubwa duniani baada ya India labda miaka ya karibuni hali imebadilika au hawakuweza kuzipata namba za US.
India iliuza tanzanite zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 300 milioni (Sh509 bilioni)
Kenya ilisafirisha na kuuza nje ya nchi tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Dola 100 milioni za Marekani (Sh173 bilioni)
Tanzania iliuza Dola 38 milioni (Sh45.5 bilioni) zilizouzwa na Tanzania.
Ndugu zangu; tatizo kubwa ni kuwa Madini ya Tanzanite yanauzwa kwa njia za magendo kwenda Kenya. Na sasa serikali imeunda kikosi kazi kudhibiti hilo. Kinajumuisha Wizara ya Nishati na Madini; TMAA; TRA; Uhamiaji; TISS; na wadau wengine. Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa -STAMICO (www.stamico.co.tz) inamiliki 50% ktk mgodi mkubwa wa Tanzanite. Hivyo tukidhibiti wanunuzi kununua ktk njia za panya TUTAPATA MANUFAA MAKUBWA SANA.
Hivi Serikali ipo wapi? ndiyo maana Kagame anamdharau jamaa ? ushauri aliyowahi kuutoa mama kilango hadi leo haujawahi kutekelezwa, sijui jamani,